JPM KULIVUNJA BUNGE LA 19 RASIMI
![]() |
“Nimefurahi kuwaona Marais wetu Wastaafu wote wapo hapa, Makamu wa Rais Mstaafu yupo, na pia Mawaziri Wakuu Wastaafu akiwemo Lowasa na Sumaye, hii ndio Tanzania” JPM
“Natumia fursa hii kutambua mchango wa watangulizi wangu kwenye awamu zote tangu Mwl. Nyerere, Mzee Mwinyi ambaye alijulikana kama Mzee ruhusa, Mzee Mkapa(Mzee wa uwazi na ukweli) na Mzee Kikwete (Mzee wa Ari mpya, Nguvu mpya na Kasi mpya), misingi yao imeniongoza sana” JPM

Post a Comment