AJALI!! AJALIIIII!! MBAYA SANA RUSUMO BORDER!!
PICHA/HABARI.
Kumetokea Ajali ya basi dogo lililokuwa limebeba Wafanyakazi wa Kambi ya Wachina wanaofanyakazi ya ujenzi wa Mradi wa Umeme Rusumo wilayani #Ngara mkoani #Kagera leo April 02/2019 majira ya asubuhi hii, taarifa zinaeleza kwamba Watu wawili wamefariki na Majeruhi wamekimbizwa Hospitali ya Murugwanza na Nyamiaga kwa matibabu zaidi.
Taarifa zaidi tutaendelea waletea
YETUSOTE BLOG



Post a Comment