FOLLOWERS!!

My Instagram

Search This Blog

Powered by Blogger.

AJALI MBAYA WAANDISHI 6 WA HABARI CLOUDS FM!! SOMA ZAIDI HAPA CHINI







Tunasikitika kuwataarifu kuwa sehemu ya timu yetu ya production (Watu 6) iliyokuwa ikitokea msibani Bukoba kurejea jijini Dar es Salaam imepata ajali ya gari maeneo ya nje kidogo ya Dodoma.

Tunamshukuru Mungu hakuna aliyepata madhara makubwa kutokana na ajali hiyo. .
.
Tunatoa shukrani za dhati kwa mbunge wa jimbo la Dodoma mjini ndugu yetu Anthony Mavunde kwa msaada wa haraka aliowapatia vijana wetu ambao kwa sasa wanapatiwa matibabu na vipimo zaidi Jijini Dodoma.

No comments