FOLLOWERS!!

My Instagram

Search This Blog

Powered by Blogger.

MH. TUNDU LISSU KUONGEA NA CONGRESS MAREKANI

#Mpya


Mh. Tundu Antipas Mwigwai Lissu anatarajiwa kurudi United States of America kuongea na Bunge la Marekani mwezi wa nne mwaka huu.

Akiongea kutokea ofisi zake za Bunge Washington DC leo Ijumaa asubuhi Rep. Christopher Smith- New Jersey amesema Mh. Lissu atapata nafasi ya kulieleza Bunge la Marekani changamoto za Demokrasia Tanzania.

Zaidi, Rep. Smith ameseam Mh. Lissu atatumia muda huo kulieleza Bunge la Marekanai mkasa wote wa tukio la kupigwa risasi kumi na sita.

Mh. Lissu anatarajiwa kurudi USA wiki ya pili ya mwezi wa nne.

No comments