SOMA ZAIDI
'Mchungaji' @AlphLukau kutoka Afrika Kusini amezua gumzo baada ya kudai kumfufua mtu wakati wa ibada Februari 24. Imeelezwa kuwa mtu huyo aliyedaiwa kufariki tangu Ijumaa alikuwa akipumua ndani ya jeneza. Wananchi wametaka serikali iwazuie wachungaji hao wanaowahadaa kwa miujiza.
Post a Comment